Baada ya Sinto Fahamu Wema Sepetu Mwenyewe Amedhibitisha Kuwa ni Kweli Ujauzito Wake Hana Tena...Aandika Maneno Haya Kwa Uchungu


Wema Sepetu Ameandika maneno haya kwenye page yake:

Wemasepetu - "Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI.

Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA.

Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh...sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU.

Alhamdulillah for EVERYTHING! " Wema Sepet

0 comments: