Wema Sepetu kathibitisha ujauzito wake kuharibika… kaandika haya maneno 73

Hii ni post aliyoiandika Mwigizaji Wema Sepetu saa kadhaa baada ya Baba Watoto mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan kuthibitisha kwamba ujauzito huo wa mapacha umeharibika.
Ni kweli, na imeniuma sana lakini kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah kwa kila kitu, Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilio nao na wameonyesha moyo wa kibinadamu, nawashukuru kwa upendo wenu.. MNANIPA NGUVU.
wema
Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI, Alhamdulillah kwa siku ya kesho Ilimradi nina pumziSITACHOKA KUJARIBU TENA.

0 comments: